Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,083
- 34,859
- Thread starter
-
- #21
wewe Kichwa Ndio Mtu jina lako na akili zako ndivyo zilivyo hukutofutiana kabisa na jina lako ulivyojipa na akili zako zipo sawasawaHuu pia ni uongo na uzushi mkubwa,alaf dawa zenyewe ni za kidini?sunna?zitakua zimejaa majini na mapepo,hakuna tofaut na babu wa loliondo kudanganya watu.watu wajinga hupenda kuamini kila wanachoambiwa.
Sio tu kunyonyesha hata ukiwa na mimba unaweza kutumia.
Nimeshazijaribu kwani mimi nina mimba? au mimi Mwanamke? mbona unasema mnaeno ya pumba?umeshazijaribu?
wewe Kichwa Ndio Mtu jina lako na akili zako ndivyo zilivyo hukutofutiana kabisa na jina lako ulivyojipa na akili zako zipo sawasawa
hukulazimishwa wewe uchangie hii Mada kama unaiona ni Mada ya Kidini ipuuze kabisa waache wenye shida watatumia dawa niliyoweka.
Tafadhali ninarudia tena kusema hukulazimishwa kuchangia hii thread yangu ipite Thread yangu kama gari bovu ninakuheshimu na wewe
ujiheshimu heshima ni kitu cha bure.
Nimeshazijaribu kwani mimi nina mimba? au mimi Mwanamke? mbona unasema mnaeno ya pumba?
Niweke utafiti ngojea mpaka wazungu waweke utafiti wao ndio upate kuamini nikiweka mimi MziziMkavu Utafiti wangu utaweza kuamini? Dawa yangu ukiweza tumia usipoweza acha dawa yangu kama ilivyo hukulazimishwa utumie ndugu Samahani..................weka wazi tafiti zako usiwe mkali; majaribio uliyafanyia wapi? Panya, binadamu, au unabahatisha? Mwingine atakuja hapa nae aseme korosho ni dawa.
Watu wengine kazi zao ni kuchafuwa thread za watu una comment kitu hata hukijuwi ili mradi na wewe ulete ubishi wako? Jifunze kusikiliza kisha nenda kafanye utafiti mimi ninacha kazi zangu shughuli zangu ninafanya utafiti kivyangu na wewe vunja kazi zako shughuli zako fanya utafiti sio kuleta ubishia wa Kimchungwa mchungwa ubishi unaoleta ni wa Klabu za mipira Simba na Yanga mimi huwa siupendi ukiweza fanya uchunguzi usipoweza waache wenye kuumwa watatumia dawa niliyoweka kwenye thread yangu. ''MAKE IT OR BREAKE IT''sio ugomvi ndg mzizi mkavu,kwenye ulimwengu wa watu tofaut tegemea mawazo tofaut na unayofikiria,wala hutakiwi kufika huko,nina uhuru wa kuchangia mada vile nionavyo mimi ili mradi sijatukana mtu,umeweka mada watu wachangie,sasa usiwapangie wachangie nn,unatakiwa kukubali changamoto.
A meaningfull Silence Is always better than a meaningless Wordsweka wazi tafiti zako usiwe mkali; majaribio uliyafanyia wapi? Panya, binadamu, au unabahatisha? Mwingine atakuja hapa nae aseme korosho ni dawa.
pole sana ndio vijana wetu hawa tuwaswamehe sheikh! songa mbele!A meaningfull Silence Is always better than a meaningless Words
Tumia dawa hii kwa vidonda vya tumbo, Utachanganya matone kumi ya mafuta ya Habbat-Sawdaa, katika kikombe cha Asali na kijiko kimoja cha maganda ya komamanga yaliyokaushwa na kusagwa. Utakula kila siku kabla ya kula chakula; baadae Utakunywa glasi ya Maziwa yasiyotiwa chochote.
Mafuta ya Habbat Sawda Black Seed Oil.
Watu wengine kazi zao ni kuchafuwa thread za watu una comment kitu hata hukijuwi ili mradi na wewe ulete ubishi wako? Jifunze kusikiliza kisha nenda kafanye utafiti mimi ninacha kazi zangu shughuli zangu ninafanya utafiti kivyangu na wewe vunja kazi zako shughuli zako fanya utafiti sio kuleta ubishia wa Kimchungwa mchungwa ubishi unaoleta ni wa Klabu za mipira Simba na Yanga mimi huwa siupendi ukiweza fanya uchunguzi usipoweza waache wenye kuumwa watatumia dawa niliyoweka kwenye thread yangu. ''MAKE IT OR BREAKE IT''
Uko kwenye Mstari hujapotea kabisa hongera sanaDr. wangu MziziMkavu bado ninaendelea kukushukuru mno kwa jitihada zako tena bila hata wivu kuona kuwa wengi wanapona kupitia wewe bila hata kukulipa senti tano. Mungu akulipe mema na mafanikio kwa ukarimu wako. Mimi nimekuwa nikizingatia sana dawa zako za virutubisho na sasa nimeanza tangu jumapili 2/03/2014 mchanganyiko wa asali mbichi +mdalasini + tangawizi +kitunguu saumu!!! Du hapa najua nitapata mafaida tele kiafya. Najiona mwepesiiiiii kabisa. Je hapo mkuu nipo katika mstari au mtelezo!!!
Tafuta katika super Market utayapata hayo Mafuta inshallah.Hayo mafuta sijui kama huku yapo!!
Uko kwenye Mstari hujapotea kabisa hongera sana