Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
- Thread starter
- #21
wewe Kichwa Ndio Mtu jina lako na akili zako ndivyo zilivyo hukutofutiana kabisa na jina lako ulivyojipa na akili zako zipo sawasawaHuu pia ni uongo na uzushi mkubwa,alaf dawa zenyewe ni za kidini?sunna?zitakua zimejaa majini na mapepo,hakuna tofaut na babu wa loliondo kudanganya watu.watu wajinga hupenda kuamini kila wanachoambiwa.
hukulazimishwa wewe uchangie hii Mada kama unaiona ni Mada ya Kidini ipuuze kabisa waache wenye shida watatumia dawa niliyoweka.
Tafadhali ninarudia tena kusema hukulazimishwa kuchangia hii thread yangu ipite Thread yangu kama gari bovu ninakuheshimu na wewe
ujiheshimu heshima ni kitu cha bure.