The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,811
Aisee,kama ni HIV si bora ARV maana kila siku kwa life yote au unamaana gani ya hiyo kila siku without a limit.Pia vip kwa side effect,kwa tatizo la kisukari unatumia the same way atakavyotumia mtu wa HIV,Ulcers,Moyo n.k?Tumia dawa hii kwa vidonda vya tumbo, Utachanganya matone kumi ya mafuta ya Habbat-Sawdaa, katika kikombe cha Asali na kijiko kimoja cha maganda ya komamanga yaliyokaushwa na kusagwa. Utakula kila siku kabla ya kula chakula; baadae Utakunywa glasi ya Maziwa yasiyotiwa chochote