Habarini za asubuhi wanajamvi

mwarabu wa dubai

JF-Expert Member
Nov 29, 2015
317
304
Kumekucha na pilika pilika za hapa na pale ili mradi kupata mkate wetu wa kila siku ingawa mtaani hali si hali upande wa uchumi.Wana jamvi kuna habari kwamba Tanesco walitumia takribani bilioni 32 kukwepa kitanzi cha hukumu ya escrow.Hivi wadau Tanesco hawana washauri wa kisheria?na kama wapo kazi yao kubwa katika hii issue waliplay part gani?Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom