Habarini wanajamvi

Habarini wanajamvi

Vijisenti

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
544
Reaction score
330
Baada ya kuwa kando nami nimeamua kujumuika nanyi katika mkao huu, naomba mnipokee kwa mikono miwili, nitakapokosa nirekebisheni. Nawasilisha
 
Baada ya kuwa kando nami nimeamua kujumuika nanyi katika mkao huu, naomba mnipokee kwa mikono miwili, nitakapokosa nirekebisheni. Nawasilisha

umefika, karibu sana!!!
 
vijisenti mbona umeingia na jina la kudhihaki WA TZ???nikikumbuka tu hilo neno (vijisenti) huwa natamani kulia kwa jinsi tulivodharaulika
 
karibu lakn usituhonge na tuvisenti twako humu....
 
hilo jina matata kaka! Nimelipenda na kulichukia ghafla! Hata hivyo karibu mwaya!
 
Karibu sana ila vijisenti vitatosha kuchangia jf?
 
vijisenti mbona umeingia na jina la kudhihaki WA TZ???nikikumbuka tu hilo neno (vijisenti) huwa natamani kulia kwa jinsi tulivodharaulika

Dah pole sana, kuna ambao tunastahili hili jina halafu kuna wale ambao hawastahili, mimi nastahili zaidi kuitwa mzee wa vijisenti aliyetudhihaki ni yule anayeweza kutunza vijisenti katika benki za nje kwani ninavyojua vijisenti vinakaa mifukoni tu.
 
Back
Top Bottom