Habari zimfikie Mkuu kuhusu TRA

Habari zimfikie Mkuu kuhusu TRA

Tunduma Wamehamia Upande wa Zambia. Kariakoo wako Congo, Burundi na Kenya. We are in the right truck.
 
kutokuwa na TIN au leseni ya biashara kwa mfanayabiashara ni kitu cha ajabu sana. Mtu ambaye yuko serious na kufanya biashara lazima awe anajua utaratibu au at least ameshaulizia utaratibu wa kuanzisha biashara yoyote kulingana na mtaji wake. Kufunga biashara hizo ni moja ya njia ya kumfanya mmiliki wa biashara asiendelee na biashara hiyo hadi pale atakapoweza kukamilisha taratibu zote. Unless kama kuna mengine yanafanyika nje ya hapo. KUtokuwa na TIN au leseni ya biashara hutafsiriwa kama ni ukwepaji wa kodi.
Ndiyo maana tunaitwa sleeping giants na majirani zetu.basi akachukuwe hiki kipya cha elfu ishirini
 
kutokuwa na TIN au leseni ya biashara kwa mfanayabiashara ni kitu cha ajabu sana. Mtu ambaye yuko serious na kufanya biashara lazima awe anajua utaratibu au at least ameshaulizia utaratibu wa kuanzisha biashara yoyote kulingana na mtaji wake. Kufunga biashara hizo ni moja ya njia ya kumfanya mmiliki wa biashara asiendelee na biashara hiyo hadi pale atakapoweza kukamilisha taratibu zote. Unless kama kuna mengine yanafanyika nje ya hapo. KUtokuwa na TIN au leseni ya biashara hutafsiriwa kama ni ukwepaji wa kodi.
Eti hawa ndiyo wanakwenda kushindana soko la afrika mashariki plus na zero english=kinyesi
 
Back
Top Bottom