Mary Chuwa
Senior Member
- Feb 24, 2011
- 177
- 40
Karibu mama![/QUOTE]
Mkuu swali la udaku tu, Umejuaje kama ni mama au jina limekuchanganya?
Maana kuna kina Maria de Santoz na kina Mamadou je utajua km ni mwanamke au mwanaume?
samahani lakini katika kuchambua majina tu.
hata hivyo namkaribisha mgeni na tutamjua jinsia kadri siku zinavyoendelea.
Aksante sana,upo sahihi kabisa babaKaribu mama!
Jina lako linanikumbusha rafiki yangu fulani anaitwa brian chuwa
athante thanakaribu thana jukwaani
Aksante sana KataviKaribu sana Mary!
Aksanteeeee saaana,Karibu sana Mary... enjoy and have fun!