Habari zenu wapendwa

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Nashukuru kwa maombi yenu nimerudi salama salimini.

Valentine ikanikutia huko hata sijaifaidi na laazizi wangu lakini yote heri tu bora uzima.

Mnaendeleaje?? MMU

Hamwezi amini vile nilivyowamiss.

Haya Maulid njema wapenzi wangu.

DA
 
Asante na karibu sana, ila giza liko pale pale na sasa hivi wanataka kuwasha mitambo ya dowans kuhalalisha ufisadi,
 
Karibu DA, zawadi iko wapi?
Ahadi ni deni mamito.
 
Nashukuru kwa maombi yenu nimerudi salama salimini.

Valentine ikanikutia huko hata sijaifaidi na laazizi wangu lakini yote heri tu bora uzima.

Mnaendeleaje?? MMU

Hamwezi amini vile nilivyowamiss.

Haya IDD njema wapenzi wangu.

DA

Karibu sana mama...
 
Tunashukuru kama umerudi salama na huko uliwaacha salama, kwani hilo ndo la msingi!! Karibu tena DA!!
 
Thank you dear. BE akisikia shauri yako nilimmiss ilie mbaya

Ungemshitua BE wakati unatuma hii post ili awe wa kwanza kukukaribisha hadharani (nina uhakika faraghani tayari). sasa hapa I am sorry for my friend TF, maana jamaa akikurupuka huko panaweza pakawa hapatoshi hapa.
 
Back
Top Bottom