Naombeni mnipokee mi mwana JF mpya natarajia kupata mengi kutoka kwenu na ntachangia kwa kile ntachoweza
Ahsanteni
karibu sana mgeni wetu tazama hapa kwanza https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/61941-jamiiforums-rules.htmlNaombeni mnipokee mi mwana JF mpya natarajia kupata mengi kutoka kwenu na ntachangia kwa kile ntachoweza Ahsanteni
mie pia.Karibu sana mgeni wetu.. Nimependa ulivyojitambulisha. Wageni wote wakija hivi itakuwa bomba
mie pia.
eti eeh. Hujambo my kaka
Naombeni mnipokee mi mwana JF mpya natarajia kupata mengi kutoka kwenu na ntachangia kwa kile ntachoweza
Ahsanteni
Arushaone.......... mussyb naona kaja kutoa tongo then kasepa.
Slave shemeji, YNNAH ni msaidizi wangu pale wageni wanaoripoti kwa ukaguzi wanapofurika.