Habari zenu wana Jf!!?

Habari zenu wana Jf!!?

Stv Mkn

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
328
Reaction score
275
Habari zenu wanaJF!?....Mimi ni memba mpya nimejiunga ivi karibuni baada ya kuifuatilia JF kwa muda mrefu na kuvutiwa nayo sana...kwaio,tupo pamoja ndugu zangu,naamini tutapeana ushirikiano wa kutosha..Pamoja!
 
Mgeni karibu ndani ingia tu! Na viatu nimebonyeza hapa ma'technology naona unavua viatu!
Sasa cha kwanza wasiliana na Mjumbe (balozi wa nyumba 10) wa mtaa huu anaitwa Kongosho akung'ofoe lebel kwanza! Ndiyo mkuu wa idara ya ubanduaji.
 
Asante sana ndugu,mimi naishi Dsm..

Kama unaishi Dar, hembu tueleze ulijiokoa vipi na mafuriko ? Taja mali ulizoopoa wkt wa mafuriko ambazo hukuwajua wamiliki wa mali hizo.
Intergritiy ! Ukiingia Jf unatangaza mali zako, huko mbele usijepata kashfa ya ufisadi.
 
@Judgement,
nashukuru sana ndugu yangu kwa kunikaribisha huku ukitumia lugha ya utani,unaonekana ni mtu mcheshi sana..nimejisikia faraja sana na nimejisikia nipo nyumbani.shukran!
 
Habari zenu wanaJF!?....Mimi ni memba mpya nimejiunga ivi karibuni baada ya kuifuatilia JF kwa muda mrefu na kuvutiwa nayo sana...kwaio,tupo pamoja ndugu zangu,naamini tutapeana ushirikiano wa kutosha..Pamoja!

Gender plz.
POPOBAWA.
 
Popo ! Mgeni hata chai hajanywa mara gendar ! Mie keshaniPM ana feance wake, tuliza mzuka Popobawa ! Kazi kuzungukia majukwaa na msuli mtupu, ndani hata kabati nehhi! huvai ! Utakula huuu !
 
Karibu sana. Siku nyingine ingia kwenye jukwaa la Utambulisho. Leo nakusamehe kwa kuwa bado mgeni.
 
Popo ! Mgeni hata chai hajanywa mara gendar ! Mie keshaniPM ana feance wake, tuliza mzuka Popobawa ! Kazi kuzungukia majukwaa na msuli mtupu, ndani hata kabati nehhi! huvai ! Utakula huuu !

nimejalibu kuvaa boxer lkn mguu wa tatu unazingua!!! tehtehteh........
POPOBAWA.
 
Back
Top Bottom