Program ya open university ndio kwanza naisikia kwako, ila nimekuelewa.
Unamaanisha udahiliwe kisha uwe unasoma kwa muda unaojua wewe chuoni uende siku za mitihani tu, sidhani kama IFM wana hicho kitu.
Tembelea tovuti ya Open University of Tanzania ndio utapata unachotaka.
Vile vile tembelea tovuti ya IFM uone kama kuna evening class inaweza kukufaa