Habari zenu ni swali naomba kuuliza

Doreen20

Senior Member
Oct 12, 2018
139
76
Mtu aliyesomea library and information studies anaweza kuajiriwa kwenye kaz za data entry?kwa sabb zinakuwa zinalingana na records management au inakuwaje naombeni ufafanuzi juu ya hili.Ahsanteni.
 
njoo pm mjukuu wangu nikupe majibu.Hapa watu wana roho mbaya sana si unaona walivokuchunia?
 
Back
Top Bottom