njoo pm mjukuu wangu nikupe majibu.Hapa watu wana roho mbaya sana si unaona walivokuchunia?Mtu aliyesomea library and information studies anaweza kuajiriwa kwenye kaz za data entry?kwa sabb zinakuwa zinalingana na records management au inakuwaje naombeni ufafanuzi juu ya hili.Ahsanteni.