Poa tu Mkuu, ulipotelea wapi? Karibu tuanzishe thread ya msako mkali wa kukutafuta duniani kote lol! Nafurahi sana kukuona tena. Tulimiss sana michango yako iliyotulia hapa jukwaani katika maswala mbali mbali.
Nilichukua break binafsi tu ndugu zangu. Haikusababishwa na chochote muhimu, bali ni mambo ya kawaida tu maishani yaliyopelekea kutoonekana huku jamvini kwa kipindi sasa.
Tafadhali mama, na mimi niombe radhi. Steve Dii hafikii hata robo ya uhandsome wangu. Sasa sielewi ulikuwa unamfananisha nami kwa minajili au vigezo gani.
Duuh, aisee, dada wee una hatari kwelikweli.... kuna baadhi ya mambo anapenda kunigezea tu yule Mnyantuzu! Lakini kwa vile nami ninadamu ya unyantuzu na uanakeya, kuna similarities nyingi! Kwa hiyo jamaa akilog in ulikuwa unafikiri ni mambo ya multiple IDs hayo??! lol
Tafadhali mama, na mimi niombe radhi. Steve Dii hafikii hata robo ya uhandsome wangu. Sasa sielewi ulikuwa unamfananisha nami kwa minajili au vigezo gani.
Thanks partner! I see the game ain't changed much in here. Btw, I've got push for a Sukuma thread sometime soon, as I wanna learn a few more things on the structure of the language, particularly on addressing individuals during greetings. Nyani Ngabu might come handy here too.
Kinehe ubochoji wa mhilya nouh twa-nisale? any luck?? lol