Habari za Michezo za ITV ni Ubabaishaji mtupu

Habari za Michezo za ITV ni Ubabaishaji mtupu

Sijawahi kuwaelewa ITV katika habari za Michezo, yaani ni ubabaishaji mtupu.Habari zao za michezo hazina mvuto kabisa. ITV badilikeni
Hahahaaah Mkuu kichwa cha habari ya hii thread ilibidi niifungue fasta. Maana mim mwenywe huwa nakereka sana na mbana pua wao Kivuyo. Jamaa anatuaribi kiswahili chetu. Moja anasema moya graphic zao poor kabsa. Basi hata content ya habari napo hakuna kitu. Yaani wanaboa kunzai reporter, fundi mitambo, graphics designers kila kitu hovyo kabsa.
 
Na mitandao yote ya kijamii hii,unahangaika kusaka habar zilizohaririwa kwa matakwa ya kituo husika!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom