Mchaga mwenzenu?Hiyo ITV kuiangalia labda ni kwavile ya mwenzetu ila imekaa ki-Local sana.
Haibadiliki kulingana na wakati. ITV ya miaka ile ya igizo la Tausi ndiyo hii ITV ya leo.
Wabadilike kwa kweli.
Ha ha ha kila siku gymkana, utazani kwingine hakuna michezo!gymkana
Sijawahi kuwaelewa ITV katika habari za Michezo, yaani ni ubabaishaji mtupu.Habari zao za michezo hazina mvuto kabisa. ITV badilikeni
hahahaha....umemuua kivuyoJamani ITV badilikeni boresheni kipindi cha michezo, huyo mbibi Ester Sangai na michezo wapi na wapi? apewe kazi nyingine na si michezo, na huyo kivuyo naona angefungua tu bendi ya taarabu
Hivi yule mwenye maneni ya misamiati anatangaza ITV au
Anatumia sn misemo ya kizaramo anaitwa nani yule jamani nikumbushen jinahahahahaaa mkuu nani tena huyo...
Anatumia sn misemo ya kizaramo anaitwa nani yule jamani nikumbushen jina