habari za mda huo jamani naomba ushauri

habari za mda huo jamani naomba ushauri

Usichukue Dar utapigwa mara 2, tafuta connection za kutoka shamba kama ni Iringa au Morogoro. Ujue wapi utapakilia mzigo kwenye boti,kama ni bandari ya Tanga,Kipumbwi,Bagamoyo,Dar es Salaam ili gari likitoka mkoani ije moja kwa moja unapopakia

Kwa Morogoro aje nimpeleke mashamba yalipo,akitumia bandari ya Bagamoyo anapakia kwa gari za Moro-Bagamoyo Abuu Rayhaan
 
Pia naomba ushauri kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kitunguu maji na mtaji wa kuanza nao na pia conection
 
Pia naomba ushauri kwa mwenye uzoefu wa biashara ya kitunguu maji na mtaji wa kuanza nao na pia conection
Wewe njoo temeka stereo na laki moja yako uchukue vitunguu faida ni pasu kwa pasu au pengine kupelea kidogo au kuzidi
 
Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
Ushindani wa biashara ya tungule kwa dar ni mkali sana,utaingia gharama kubwa na hutaweza kupata faida,fanya utafiti hukohuko zanji utayoboa
 
Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
Soko ni zuri Ila pata connection ya Tanga na Iringa direct
 
Back
Top Bottom