Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,692
UShauri mzuriKwa yeye itamuwia ngumu sana ni bora afanye ya vitunguu
UShauri mzuriKwa yeye itamuwia ngumu sana ni bora afanye ya vitunguu
nitoe daa nilete zenji so nifanye ukoUshindani wa biashara ya tungule kwa dar ni mkali sana,utaingia gharama kubwa na hutaweza kupata faida,fanya utafiti hukohuko zanji utayoboa
sasa hivi vitunguu mtaji wake uanze na bei gani maana nataka nichukue kuanzia roba 6 - 10 za kilo 100-120Kwa yeye itamuwia ngumu sana ni bora afanye ya vitunguu
zanzibar tunategemea nyanya kutoka mikoani na ya kenya huku hakuna mashamba makubwa na ata ukifika msimu wa huku hadumu sana ndo maana nikataka nitafute uzoefu na ushauri humu maana ao wanao tuuzia wanatoa mikoan na dar iyo ya kenyaUshindani wa biashara ya tungule kwa dar ni mkali sana,utaingia gharama kubwa na hutaweza kupata faida,fanya utafiti hukohuko zanji utayoboa
Laki kama 3 hivisasa hivi vitunguu mtaji wake uanze na bei gani maana nataka nichukue kuanzia roba 6 - 10 za kilo 100-120
😂na mimi naomba koneksheni ya kununua karafuu Zanzibar na kuleta bara.