Habari za Kitaifa toka ITV 10-02-2011 - VIDEO

Mzee Kitungi,
Hii Dedichijr account ya youtube mbona inarusha video zinazosuasua ni analojia(analogy) na sio digital/broadband? Unafanya kazi nzuri ya kutupatia link ya Dedichijr lakini inakatisha tamaa kuangalia na kama ni account yako(Dedichijr) fanya marekebisho maana tukiingia account ya Tangibovu wa youtube video haisuisui.
 
Mkuu ukumbuke pia kuna tofauti ya upatikanaji wa hizi habari kwa iyo sijui mwenzangu anafanya vp labda yupo bongo anazirecord kwenye vhs/DVR kwa iyo inakuwa rahisi sana.ila w'nd hii nitalifanyia kazi.
 
Mkuu big up sana,unatusaidia sana ina video inasuasua san kiasi kwamba inapoteza mtiririko mzuri wa habari.
 
Mkuu safi sana kazi nzuri angalau tunapata kitu! Inatosha hata kusikia sauti tu maana habari inatufikia, mambo ya quality baadaye
 
Back
Top Bottom