Nimeshindwa kuelewa hilo sink hapo ukutani ananawaje sasa maana liko juu sana
Mambo..?
Huyo mbuzi nilijua kajiweka "karantini" baada kusikia mwenzao anao.
Poa Mkuu.Mambo..?
I love you..Poa Mkuu.
We acha tu jamaa yangu.Kabudi kaamua kubugia chupa lote na wakati huohuo anatwambia walipewa chumba mbili tu (control) na wanataka wapime kwanza ile "sample" kuona kama inafaa.
Duuuu! Mbona beat kali mkuu?Nyie endeleni kushupaza shingo na kuja na vibonzo vya picha kila kukicha hakika shingo zenu zitakatika vipandevipande.
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA