Habari ya mwisho ya Marehemu Edson Kamukara

Habari ya mwisho ya Marehemu Edson Kamukara

Hakika Mkuu, Lowasa na genge lake ni watesaji na wauaji. Hapo hakuna cha TISS wala watoro wa Rashid Othman. Ni Karamagi na Lowasa wake
hahahaha!! kwenye ile press conference alofanya dodoma alisema anachukia umaskini. akasema anataka watu kama karamagi!

msikilize kuanzia dakika ya 3:45
 
Last edited by a moderator:
Kwani kifo chake kimetokana na kuuawa au aliugua? Kwa maelezo ya Saed Kubenea anasema kuwa Kamukara amekufa kutokana na kuugua malaria.

mkuu kwa tanzania hii mtu akifa lazma itafutwe sababu.....
Hata mtu augue ukimwi lakn sku ya siku watasema kifo cha utata
 
Hii TISS ndiyo maana inashindwa kufanya kazi zake,watumishi wamekua wajasiriamali,wanasiasa.Makampuni yote yana watoto wa vigogo wa ccm na taasisi zake
 
hahahaha!! kwenye ile press conference alofanya dodoma alisema anachukia umaskini. akasema anataka watu kama karamagi!

msikilize kuanzia dakika ya 3:45

Hakyamungu tukiwaingiza hawa wapiga dili Ikulu tutakuwa wapuuzi sana..
 
Last edited by a moderator:
ni rafiku mkubwa wa lowasa

Kwahiyo tukisema la Lowassa ni la Karamagi na la Karamagi ni la Lowassa hatukosei....!!??

Eeeeeee, Mungu tuepushe, Namuona huyu mama na makaratasi ya Buzwag kule London hotelini.!.

BACK TANGANYIKA
 
Kwa bahati mbaya sana kuna watanzania Vilaza sana...utaona kwenye uchaguzi huu....Nchi hii huwezi kumzungumzia Karamagi, TISS na makando kando yao ukabaki salama.

Hata yule wa Gazeti la Jamhuri awe makini sana.
mkuu asante sana kwa hii taarifa yako , hii inadhihirisha kwamba PDG KARAMAGI NI MUNGU MTU .
 
sio kweli mleta mada hii makala haikua ya mwisho
" Tibaijuka anaongoza waliopotezamatumaini" ukurasa wa nane toleo na 153 June 25 usilete uwongo .
 
sio kweli mleta mada hii makala haikua ya mwisho
" tibaijuka anaongoza waliopotezamatumaini" ukurasa wa nane toleo na 153 june 25 usilete uwongo .
usitake kupotosha watu hapa hiyo mbinu haita fanikiwa kamwe, fungua mwanahalisi online ya leo.
 
naona uandishi wa kimbea kama kawaida yao hao. Sasa apeleleke ho umbea huko. Hivi mtu akitoka UKAWA ndo wanafanya kutafuta uongo? Ili kuwachafua?

Mbona sijawahi ona wameandika uozo wa babu na DJ?
 
Kwa bahati mbaya sana kuna watanzania Vilaza sana...utaona kwenye uchaguzi huu....Nchi hii huwezi kumzungumzia Karamagi, TISS na makando kando yao ukabaki salama.

Hata yule wa Gazeti la Jamhuri awe makini sana.
mkuu kaisaidie polisi iki kumuokoa wa gazeti la jamhuri,inaonekana unajua mengi
 
kafulila kasema punde bungeni kuwa marehemu kamukara alifariki kifo cha utata baada ya kuwa anafanya uchunguzi wa vigogo mbalimbali wa serikali na chama juu ya ufisadi.
sio kifo cha utata
''sema kauliwa.''
kauliwa..... Kolimba atakuwa yeye....ebo?
 
Malaria ndo ilipanda kichwani akalipua jiko la gesi???

Mbona kuna yule CEO wa kundi fulani malaria ilipanda mpaka 5000 lakini tulipompeleka India alipona?
Ila nadhani malaria ile ilimsababishia jambo mojatuu, kusema hiki na kutenda kingine. Ila yupo anadunda tuu
 
Hakika Mkuu, Lowasa na genge lake ni watesaji na wauaji. Hapo hakuna cha TISS wala watoro wa Rashid Othman. Ni Karamagi na Lowasa wake

Mkuu umefatilia comments zako zote kwenye huu uzi kabla hujaandika hii comment
 
usitake kupotosha watu hapa hiyo mbinu haita fanikiwa kamwe, fungua mwanahalisi online ya leo.

PISTO LERO sibishani mimi marehemu Kamukara r.i.p
wewe makala zake umeanza kufuatilia akiwa mwanahalisi mimi nimeanza kusoma makala zake akiwa Tanzania daima , sibishani nimeandika kwa facts kwa taarifa yako mimi sisubiri kusoma habari online kama wewe , nunua gazeti usome nina nakala kibao za mwanahalisi, tanzania daima tangia mwaka 2007 na Mawio kila toleo hakuna ninalolikosa ndio maana nikaweka no ya Gazeti subiri wiki ijao watakapo uptade uone haibu na mwenzako nani sijuw.....punguza hasira mimi usipende kuzungumza bila fact...
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Karamagi ni nani ktk nchi hii wadau?

BACK TANGANYIKA

Ni Yule fisadi wa tiksi na aliyetajwa na Yule mnunuzi wa njia ya magogoni eti wakiwa elfu 20 tu Tanzania hatutakaa tukope nje!!!
R.I.P Comrade Kamukara damu yako haitapotea bure bila kulipwa na Mungu wetu.
 
Back
Top Bottom