Habari ya mujini

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
Darasa aliwafunika Dimpoz na Kiba kisha Diamond na Rich mavoko kisha Diamond na NEYO bado darasa aliendelea kuwakimbiza....Darasa akaja kumezwa na Bashite. Mpaka wakaja na ujanja wa msaada new model wa viroba....vimepigwa marufuku bado singo ya Bashite ni tamu zaidi...wakaona waje na mama Salma....bado sioni dalili ya kuifunika singo ya Bashite...BASHITE NDO KITU CHA PEKEE KINACHONIFURAHISHA KWA SASA.
Bashite bana....ujue Bashite ni kama Babu wa loliondo.
 
Back
Top Bottom