Habari ya mjini

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
9683a0b25a9d94eb2d938cd2ab3c1847.jpg
b7c10ff8dda954502da69026b7fd0521.jpg
IMG_20170217_141949.jpg
 
Wasukuma njooni mtuhabarishe.
Wanaongoza kwa kudondosha mkono sweta ni wilaya ya tunduru/songea kule unaweza fika na dem hadi kitandani ila akishagundua umevaa sweta unanyanyanywa tonge mdomoni bila kuamini
 
Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa...
 
Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa...
Mkuu bila shaka utakuwa ni msukuma hii mikono ya sweta kwa wayao ni sawa na unga kwa serikali ya Tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom