Zgerald95
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 235
- 59
Navyojua mimi ni mwiko kwa chombo cha,habari kuonesha hisia zake binafsi,juu ya jambo fulani.
Nimestaajabu naangalia habari sasa hivi hapa inaonesha wazi kabisa hawajalizishwa au kufurahia uamuzi wa EL kuhamia CDM.
Hamuoni mnakiuka miiko ya uandishi wa habari? badiliken co siri mnaboa tambueni kwamba watazamaji wenu wana interest tofaut tofaut hivyo c vyema ku base upande wenu.
Kutokana na interest zenu binafsi, jukumu lenu ni kutoa habar sio kuwa lazimisha watu kuamini mnavyotaka nyie.