Jamani naomba ushauri kutoka kwenu nilikua nataka kwenda kusomea kilimo na pia napenda niji ajiri kupitia kilimo ila nilikua naomba mnishauri nika some au niji ajiri kupitia kilimo msaada wenu wakubwa.
Unaweza ukawa unasoma huku unajiajili kwa mfano kama huko chuo unaweza kutafuta flashes na vifaa vingine vya kiilektroniki na ukauza huko chuo wanunuzi wapo.
Omba mods waamishe uzi wako jukwaa la biashara watu wakupe mawazo mingine ya biashara.