Akwota
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 792
- 633
Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza(1.17),ambapo amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano katika(Combonation ya CBG),Sasa swala linakuja kwamba HATAK kabisa kwenda kidato cha tano badala yake anataka kwenda kusoma Stashahada Maalum ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi(Kemia na Baiolojia),je hatua zipi ambazo tunaweza kufanya ili aweze kubadili kutoka huko alikochagiliwa ili aende Chuo mwaka huu?,tumembembeleza sana aende kidato cha tano lakini amekataa.
Msaada ndugu zangu!
Msaada ndugu zangu!