KUPATA TAARIFA ZAKO MBALIMBALI ZA KIUTUMISHI KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI FUATA HATUA ZIFUATAZO :
(a) Google " Watumishi portal-Utumishi.
(b) Bonyeza neno jisajili
(c) Ili kujisajili utahitaji kuwa na vitu vifuatavyo ;
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na
taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in
katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa
level yetu, iko simple na rahisi
kutumia ;
1. Taarifa zako (hapa ndipo kuna
kipengele cha salary slip)
2. Option ya kutafuta mtu wa kubadili
kituo cha kazi
3. Sehemu ya kuwasilisha
malalamiko na kufuatilia
Ndugu mtumishi mwenzangu, jiunge leo uache kuhangaika kutafuta salary slip yako, kwani una uwezo wa kuipata kwa kutumia simu yako ya mkononi !
pia unapata fursa ya kuhakiki taarifa zako za kiutumishi iwapo zipo sahihi au la !