Atapigwa achakae 🤣🤣😂Hao wenye bluetick ni wale wanaolipia, n laki moja kwa mwezi.
Karibu PM ili nikupe maelezo zaidi pamoja na namba ya mpesa ili uweze kutuma hayo malipo ili nawe uwe na bluetick.
Kila kitu kina utaratibu mkuu, watu wengi sana humu nimewawekea bluetick, kuna bluetick ya gold inakuja na premium features kama vileAtapigwa achakae 🤣🤣😂
Mbona wewe huweki mkuu? Au hupendi kujionesha.Kila kitu kina utaratibu mkuu, watu wengi sana humu nimewawekea bluetick, kuna bluetick ya gold inakuja na premium features kama vile
1: Kufuta mada
2: Ukimblock mtu haoni content zako
3: Kufuta comment za wengine kwenye mada yako n.k
Premium features ni nyingi mno ambazo nyie regular hamzipati
N suala la uamuzi tuu mkuu, mana sio lazima ni kupenda kuwa na hizo premium features tuuMbona wewe huweki mkuu? Au hupendi kujionesha.
Karibu 😎Nakubali. Ngoja nijipange nakurudia mkuu.
😂😂😂Karibu 😎
Inasikitisha sana mkuu 😎