Habari wadau, niagize mchele kutoka mbeya nakuletea ulipo

Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,676
6,961
Habari wadau, niagize mchele kutoka mbeya nakuletea ulipo, agiza kuanzia nusu tan na lipa nusu....
Iliyobaki utamalizia mzigo ukifika.
Mchele kwa sasa kilo 20 ni 48,000(pamoja na usafiri)
Usafiri tan 1 ni 170,000.

Malipo kwa njia ya bank.

Nipigie 0788643144 au chat with me kupitia whatsapp Share on WhatsApp
 
Niagize nikuletee kiasi chochote, pia nauza mahindi debe moja 15,000
 
Nahitaji hebu weka picha
Huu hapa
55734806_13.jpeg
 
Habari wadau, niagize mchele kutoka mbeya nakuletea ulipo, agiza kuanzia nusu tan na lipa nusu....
Iliyobaki utamalizia mzigo ukifika.
Mchele kwa sasa kilo 20 ni 48,000
Usafiri tan 1 ni 170,000.

Malipo kwa njia ya bank.

Nipigie 0788643144 au chat with me kupitia whatsapp Share on WhatsApp
....
55734806_13.jpeg
 
Bei ya jumla Ni how much hiyo naona Ni 2400 per kg which is retail price....

Niambie Bei ya jumla ila pia malipo Ni lazima nione mzigo Kwanza

Nipo KILIMANJARO-MOSHI MJINI
 
Bei ya jumla Ni how much hiyo naona Ni 2400 per kg which is retail price....

Niambie Bei ya jumla ila pia malipo Ni lazima nione mzigo Kwanza

Nipo KILIMANJARO-MOSHI MJINI
Kama unachukua mzigo mwingi nakuletea au njoo kiwandani uuone, mchele ni super mzuri sana...

Nita kuuzia 2100/kg tuwasiliane +255788643144
 
Back
Top Bottom