Habari picha

Habari picha

tryvenak

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
248
Reaction score
298
Nilimskia akitoa ushuhuda " Namshukuru Bwana Yesu, maombi ya Mchungaji yamenipa kazi"
FB_IMG_1523080241797.jpg
 
Ndo wanavyosemaga.
Wakikukuta mwanaume huna kazi ya maana, wanakuona mwanaume suruali.
 
Ndo wanavyosemaga.
Wakikukuta mwanaume huna kazi ya maana, wanakuona mwanaume suruali.

Tena wana usemi wao eti "MWANAUME MWENYEWE SURUALI NIKUPELEKE WAPI MIE"

Jibu huwa simple sana; mwambie "AKUPELEKE KWENYE MASHATI"
 
Hivyo unamaanisha si maombi ya mchungaji yaliyompa kazi, bali alivyokilalia kitanda cha bosi hapo?
Me nilimskia akitoa ushuhuda kanisan kuwa maombi yamemsaidia kupata kazi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom