Nipo katika maabara
moja maarufu ya kutest reactivity za viasili vya binadamu tukifanya
research ya kutatua matatizo mawili makubwa ya kimapenzi yanayowakumba
watu wengi duniani:
1. Tunatengeneza kifaa cha kupima kama mwanamke amekojoa au lah wakati
wa tendo. Kifaa hicho utakichovya kwenye k ya mwanamke anayedai kucam na
kitaonyesha reactions tofauti kutegemea kama amecam au hapana. Tumeweza
kutengeneza kifaa hicho ambacho kipo kama utepe wa kupima HIV, baada ya
kusoma compositons za dutu za maji ya shahawa ya mwanamke na mwanaume,
simply tumegundua kuwa ni chemicals ambazo reactiviy zake ni very
strong.
2. Tunatengeneza kifaa kinachofanana kwa kiasi fulani na cha kwanza hapo
juu lakini kwa ajili ya kutest kama mwanamke amelala na mwanaume
tofauti na yule anayelala naye mara kwa mara tangu sekunde 10 hadi mwezi
mmoja. Kuna series za reactions ambazo hufanyika wakati wa tendo la
ndoa kwenye ukuta wa k, na tumegundua kuwa dutu zenye asili tofauti
hukaa kwenye ukuta kwa muda mrefu.
Lengo la number 1. ni kuepusha uongo wanaofanyiwa wanaume na wanawake
kwamba wamecam ili kuwaridhisha wakati hakuna kitu. Lengo la number 2.
ni kudhibiti michepuko.
Kwa majaribio yote mawili matokeo ni very promising.
Wazo hili ambalo nililitoa kwa ajli ya kulifanyia research liliwavutia
wanazuoni wengi wakiwemo maprofessor maarufu duniani katika lab moja
maarufu duniani ya mambo ya kikemia na kibayolojia. Ingawa tupo timu ya
watu kadhaa, lakini mimi kama kiongozi wa uchunguzi huu huenda nikaibuka
na "Nobel Prize".