Habari njema

Habari njema

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Nipo katika maabara moja maarufu ya kutest reactivity za viasili vya binadamu tukifanya research ya kutatua matatizo mawili makubwa ya kimapenzi yanayowakumba watu wengi duniani:

1. Tunatengeneza kifaa cha kupima kama mwanamke amekojoa au lah wakati wa tendo. Kifaa hicho utakichovya kwenye k ya mwanamke anayedai kucam na kitaonyesha reactions tofauti kutegemea kama amecam au hapana. Tumeweza kutengeneza kifaa hicho ambacho kipo kama utepe wa kupima HIV, baada ya kusoma compositons za dutu za maji ya shahawa ya mwanamke na mwanaume, simply tumegundua kuwa ni chemicals ambazo reactiviy zake ni very strong.

2. Tunatengeneza kifaa kinachofanana kwa kiasi fulani na cha kwanza hapo juu lakini kwa ajili ya kutest kama mwanamke amelala na mwanaume tofauti na yule anayelala naye mara kwa mara tangu sekunde 10 hadi mwezi mmoja. Kuna series za reactions ambazo hufanyika wakati wa tendo la ndoa kwenye ukuta wa k, na tumegundua kuwa dutu zenye asili tofauti hukaa kwenye ukuta kwa muda mrefu.

Lengo la number 1. ni kuepusha uongo wanaofanyiwa wanaume na wanawake kwamba wamecam ili kuwaridhisha wakati hakuna kitu. Lengo la number 2. ni kudhibiti michepuko.

Kwa majaribio yote mawili matokeo ni very promising.

Wazo hili ambalo nililitoa kwa ajli ya kulifanyia research liliwavutia wanazuoni wengi wakiwemo maprofessor maarufu duniani katika lab moja maarufu duniani ya mambo ya kikemia na kibayolojia. Ingawa tupo timu ya watu kadhaa, lakini mimi kama kiongozi wa uchunguzi huu huenda nikaibuka na "Nobel Prize".
 
na nyie tunawapima kwa kutumia nn maana ndio wachepukaji wakuu??!! wanaume wabinafsi jamani! kwahiyo sisi tu ndio huwa huchepuka?! cjui unaanzia wapi kunipima yaani hinipimi hata kwa bunduki maana timbwili lake!
 
na nyie tunawapima kwa kutumia nn maana ndio wachepukaji wakuu??!! wanaume wabinafsi jamani! kwahiyo sisi tu ndio huwa huchepuka?! cjui unaanzia wapi kunipima yaani hinipimi hata kwa bunduki maana timbwili lake!

atoto usipokuwa makini utanipoteza humu jukwaani..
 
Sasa michepuko si itatumia kondom? Au mi sijaelewa
 
Kwa hiyo akisema anakam mnasitisha kwanza zoezi mnaanza kupima au...??
 
Vinauzwa sh ngapi. nata vya 2 mkuu.
Naomba kabisa na uajenti. Safi sana.
 
Nipo katika maabara
moja maarufu ya kutest reactivity za viasili vya binadamu tukifanya
research ya kutatua matatizo mawili makubwa ya kimapenzi yanayowakumba
watu wengi duniani:

1. Tunatengeneza kifaa cha kupima kama mwanamke amekojoa au lah wakati
wa tendo. Kifaa hicho utakichovya kwenye k ya mwanamke anayedai kucam na
kitaonyesha reactions tofauti kutegemea kama amecam au hapana. Tumeweza
kutengeneza kifaa hicho ambacho kipo kama utepe wa kupima HIV, baada ya
kusoma compositons za dutu za maji ya shahawa ya mwanamke na mwanaume,
simply tumegundua kuwa ni chemicals ambazo reactiviy zake ni very
strong.

2. Tunatengeneza kifaa kinachofanana kwa kiasi fulani na cha kwanza hapo
juu lakini kwa ajili ya kutest kama mwanamke amelala na mwanaume
tofauti na yule anayelala naye mara kwa mara tangu sekunde 10 hadi mwezi
mmoja. Kuna series za reactions ambazo hufanyika wakati wa tendo la
ndoa kwenye ukuta wa k, na tumegundua kuwa dutu zenye asili tofauti
hukaa kwenye ukuta kwa muda mrefu.

Lengo la number 1. ni kuepusha uongo wanaofanyiwa wanaume na wanawake
kwamba wamecam ili kuwaridhisha wakati hakuna kitu. Lengo la number 2.
ni kudhibiti michepuko.

Kwa majaribio yote mawili matokeo ni very promising.

Wazo hili ambalo nililitoa kwa ajli ya kulifanyia research liliwavutia
wanazuoni wengi wakiwemo maprofessor maarufu duniani katika lab moja
maarufu duniani ya mambo ya kikemia na kibayolojia. Ingawa tupo timu ya
watu kadhaa, lakini mimi kama kiongozi wa uchunguzi huu huenda nikaibuka
na "Nobel Prize".

wew cimplicity!!!
 
mmesahau tatizo la tatu
na kifaa cha kujua kama DUDU limechepuka
 
Kweli mapenzi si lelemama. Kila la kheri mtafiti, muangalie na upande wa ebola tafadhali
 
kuna siku maajabu yatashangaa vituko vya binadamu
 
Back
Top Bottom