Habari njema

Habari njema

Wewe ni mwanahabari halafu hujui matumizi ya 'R'na 'L'!?? Neno mjasiriamali linakushinda kuliandika utaweza kufanya mahojiano!??
 
Wewe ni mwanahabari halafu hujui matumizi ya 'R'na 'L'!?? Neno mjasiriamali linakushinda kuliandika utaweza kufanya mahojiano!??
Hao Walimu wao wa siku hizi wenyewe ni majanga, Usishangae huyu akikwambia ni graduate.
 
Kukosea tumeumbiwa binaadam mkuu hvy Kukosea kuandika sio kwamba atakosea kufanya kazi ya taaluma yake au kushindwa kufanya kile anachokipenda
 
Nataka kufanya makala na wajasiliamali kwenye Media yangu TV, kwa alieko tiari mkoa wowote napenda sana tujifunze sote.
-wakulima
-wafugaji aina zote
mnakaribishwa sana, mimi nitakufuata popote tufanye kipindi.
LENGO.
1. Ni kukufanyia branding ya biashara au ujasiliamari wako.,,ili uweze kufahamika zaidi.
2.Watanzania wajifunze pia.
contact. info.habaritz@gmail.com
Upate viewer upige hela.Good.
 
Back
Top Bottom