Kama yalivyo mengineTangazo la biashara
Sharing is caring, hii hapa YouTube video inafundisha Bure step by step kutengeneza hydroponics fodder bila kununua kitabuNatumaini haujambo wewe unayesoma hii mada.
Leo napenda kuwaleteeni habari njema ya kuwasaidia wafugaji wa kuku, bata, nguruwe, sungura, ng'ombe nk. Habari yenyewe ni kuhusiana na uwezekano wa kuzalisha chakula bora cha mifugo kwa bei rahisi sana.
Chakula hicho kinafahamika kama Hydroponics Fodder; ni chakula halisi kinachozalishwa kutokana na mbegu za shayili, ngano, mahindi, serena n.k. Chakula hiki kinazalishwa kwa kutumia trei na virutubisho bila kutumia udongo.
Iwapo utapenda kujifunza namna ya kuzalisha chakula hicho - tumekuandalia kitabu chenye maelekezo ya hatua kwa hatua. Unaweza kujipatia kitabu hicho kikiwa soft coy au hard copy kwa kuwasiliana nasi kwa nambari 0655-533543; e-mail: jnb14enterprises@gmail.com.
Uliza chochote kuhusiana na Hydroponics Fodder utajibiwa.
KARIBU.
SAFI SANA ... INAPENDEZA .. ILA KUMBUKA WATANZANIA WENGI HAWANA ACCESS NA MITANDAO NDO MAANA TUMEJIDHATITI KWENYE NJIA AMBAYO TUNAAMINI KILA MTU ANAWEZA KUPATA MAARIFA HAYO.Sharing is caring, hii hapa YouTube video inafundisha Bure step by step kutengeneza hydroponics fodder bila kununua kitabu
Huo ni mtazamo wako ... awazalo asiyejua halipaswi kusumbua anayejua ...Umelipia tangazo?....kwa tanzania ukiona mtu anakuita kwenye fulsa juwa wewe ndiye fulsa yenyewe, ni tanzania peke yake utaona mtunzi wa kitabu cha ufugaji wa kuku au samaki lakini kwake hana mfugo ata yule paka wa kuzugia hakuna.au njoo uwe milionea kwa mtaji mdogo wa elfu 10 lakini muuzaji mwenyewe kiatu soli imeisha upande mmoja kwa sababu ya kupiga misele ovyo mitaani kutafuta wanunuzi wa vitabu.
Umelipia tangazo?....kwa tanzania ukiona mtu anakuita kwenye fulsa juwa wewe ndiye fulsa yenyewe, ni tanzania peke yake utaona mtunzi wa kitabu cha ufugaji wa kuku au samaki lakini kwake hana mfugo ata yule paka wa kuzugia hakuna.au njoo uwe milionea kwa mtaji mdogo wa elfu 10 lakini muuzaji mwenyewe kiatu soli imeisha upande mmoja kwa sababu ya kupiga misele ovyo mitaani kutafuta wanunuzi wa vitabu.
Anayekuandikia haya ndo anatumikia NGO inayofanya kazi Tanzania bara nzima, anasoma vitabu sana na anavifanyia kazi. Tembelea www.mwasenda.org ukutane na timu nzima ya watenda kazi. Kwa taarifa yako ni kwamba ... kwenye NGO hii tupo watu wenye taaluma zetu; wengine ni watumishi wa serikali, wengine wanafundisha vyuo vikuu ... na uzuri ni kwamba wanaofundisha vyuo vikuu sio wabongo ... wanashangaa namna wabongo walivyo na fursa nyingi lakini hawazitumii.Umenena Mkuu, nlkutana na mtu kuchoka anahvo vtabu vya sampuli ya hicho cha mleta mada na vtabu vya watoto vya kujifunza kuandika.
Swali kwanini hawasomagi hivo vitabu wao? Wakayafanyia kazi?
Anayekuandikia haya ndo anatumikia NGO inayofanya kazi Tanzania bara nzima, anasoma vitabu sana na anavifanyia kazi. Tembelea www.mwasenda.org ukutane na timu nzima ya watenda kazi. Kwa taarifa yako ni kwamba ... kwenye NGO hii tupo watu wenye taaluma zetu; wengine ni watumishi wa serikali, wengine wanafundisha vyuo vikuu ... na uzuri ni kwamba wanaofundisha vyuo vikuu sio wabongo ... wanashangaa namna wabongo walivyo na fursa nyingi lakini hawazitumii.
Hunifahamu ndo maana unaifananisha na hao...Mnauwezo mkubwa sana wa kushawishi watu vitu ambavyo hamjawahi kuvifanya. Hongeren kwa hilo.
Nyie ndo watu mnaofundisha Ujasiriamali na hata hamjawahi kuuza pipi.
Hunifahamu ndo maana unaifananisha na hao...
Alokwishaumwa nyoka akiona mjusi lazima ashtuke ...
Bin adam akidanganyika sana mwishowe akili yake hupata kilema cha maisha ...
Watanzania walio wengi wamepata vilema vya maisha ...
Je na wewe ni mmoja wao?
Ok, ingia kwenye website ya shirika langu ... napaswa kuwahudumia watanzania .. kama wewe sio .. nisamehe bure.Hunifahamu ndo maana unaifananisha na hao..." Ni kweli sikufahamu ila wengi wa waandishi wa vitabu vya motivation wa Tanzania ni hovyo.
Alokwishaumwa nyoka akiona mjusi lazima ashtuke ..." Mda mwingne si kweli Mkuu.
Bin adam akidanganyika sana mwishowe akili yake hupata kilema cha maisha ... "" Umenena vema sana Mkuu.
Watanzania walio wengi wamepata vilema vya maisha ..., "" mm sio Mtanzania
Je na wewe ni mmoja wao?,,"" Hapana