Habari njema kutoka airtel

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Airtel wame lunch new promotion guys, Modem Shs 30,000 na Offer ya free Internet kwa miezi 6...Tembelea duka la airtel Uchukue modem yako fasta!
 
Hopefully hii promotion haitakuja na kupungua kwa quality (speed)
 
hawana jipya hawa,ile 3.75G ni kwenye matangazo tu
bado zantel ,tigo na voda wako juu ya hawa
 
hii promotion imewalenga wateja wapya (kuongeza market portion)...so hiyo modem ukinunua itakua na line yake kabisa...offer it exist as long as unatumia modem na line kwa pamoja.
 
hawana jipya hawa,ile 3.75G ni kwenye matangazo tu
bado zantel ,tigo na voda wako juu ya hawa
ningekuelewa kwenye zantel regarding speed (ingawa ni expensive) voda na tigo sijui umetumia kigezo gani.., truth be told Airtel kwa sasa unapata value for money

let give credit where's credit due
 
ningekuelewa kwenye zantel regarding speed (ingawa ni expensive) voda na tigo sijui umetumia kigezo gani.., truth be told Airtel kwa sasa unapata value for money

let give credit where's credit due
Acha chai ww.... Huwezi download 600kbps kwa Airtel bt Voda na Tigo u can. WW wa wapi weye
 
@Biohazard hiyo spidi unayoipata wewe kwenye line zako za voda na Tigo (600kbps) mbona ni ndogo sana hata smartphone za sshv zinagonga 21Mbps ambayo ni equivalent to 2.63MB/s.... Hiyo 600kbps ni sawasawa na 75KB/s ambayo ni kidunchu! Airtel ndio provider bomba wa Internet,,
 
Nilishindwa hata nianze wapi kumjibu, speed pia inategemea na location lakini on average zantel speed yake ni kubwa (ila kwa bei yake ni expensive) voda na tigo sioni cha kuwasifia kwakweli hususan voda walivyooanza kuona kwamba 700mb ndio unlimited internet...

All in all ukiweka vitu vyote airtel ni nzuri sana (hususan ukiforce connection iwe 3G only ni poa sana (vile vile for 2500 for 400mb per month) you cant complain (na ni hapo ambapo airtel anawaacha wengine na ndicho kilichonifanya niachane na zantel. Kwahio ni kweli ukiuliza value for money Airtel haina mshindani kwa sasa
 
airtel kiboko hakuna asiejua ila wanaoikandia wanajaribu kuleta ushabik kama wa yanga na simba,400mb per month kwa sh 2,500 umeona wapi? Hata speed mbna iko poa 2.pia ni sawa na bure yaan ukipiga calc ni sh 83.3 per day! U gota b kidding me!
 
Back
Top Bottom