Airtel kuna mchezo mchafu tena kwenye bando zenu za data

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
siku moja simu yangu ilitaka kuflashiwa baada ya kutofanya kazi vizuri. Kwa mazingira niliyokuwepo mtandao uliopo ni Airtel na nilikuwa na kifaa chao cha internet. Simu ilikuwa na mambo mengi unajua tena simu ukishafanya ofisi yako.

Nika nunua bando la mifi linanalopatikana kwenye internet elfu 20,000 ambayo GB 11 siku 30. Simu ilitaka file GB 6 na sijatumia chochote ila ilipo fika GB 4.8 nikapata ujumbe umetumia asilimia 70%.

Hivi hawa Airtel wanatatizo gani?
 
Kama sasa hivi wamezidi hakuna hata hiyo sms ya Umetumia asilimia 70
Narudi voda
 
Kama sasa hivi wamezidi hakuna hata hiyo sms ya Umetumia asilimia 70
Narudi voda

IMG_9356.jpg

voda wanahuduma ambayo itakubidi kusajili hiyo huduma .mfano nyumbani kwangu nanua spidi 1Mpbs kwa elfu 50000 mwezi mzima.
 
Nilidhani ni mimi pekee nimepata hii changamoto. Ni kama week moja sasa HALOTEL wananifanyia uhuni. Nilinunua bandle la week baada ya bundle la mwezi kuisha sikutumia chochote ila siku inayofuata nakuta salio data 0 ila texts za jana yake kununua bundle la mb 1gb ipo
 
Duuuuuuh 1Mbps kwa elfu 50? Mbona kinyonge sanaa

Mkuu kuna providers weengi wanatoa mpaka 20Mbps kwa elfu 70 tu

kwa kudownload ila kushinda kwenye youtube na mengine utachoka.inanisaidia kwenye smart tv,laptop,cctv hata hiyo inatosha sana na torrent kudownload movie
 
Back
Top Bottom