johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,638
Kwani 2015-2020 raisi alikua mbowe na sio JPM safi sana.Serikali ya JPM ni ya uwazi na ukweli.
Uwazi na Ukweli karibu bwashee!Bunge ama kikao cha CCM ??
Karibu Mamdenyi umsikie mbunge wako!Waangalie wenye huo muda.
Wako wapinzani wa kutosha bungeni bwashee!Baada ya kuwaondoa wapinzani Bungeni, tulitabiri kuwa hili litatokea, hivyo halitushangazi.
Vyote kwa pamoja!Bunge ama kikao cha CCM ??