Habari mbaya na mbaya zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari mbaya na mbaya zaidi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, Mar 10, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Dokta: Samahani nina habari mbaya, na nyingine mbaya sana kwako
  Mgonjwa: Dah! haya nieleze hizo habari mbaya .
  Dokta: Majibu ya vipimo vyako yametoka. Inaonekana una masaa 24 tu ya kuishi.
  Mgonjwa: MASAA 24 TU?, he sasa kuna baya zaidi ya hilo? Hilo baya sana ni lipi?
  Dokta: Nilikuwa nikupe hii habari jana, lakini tulikuwa kwenye mgomo
   
 2. M

  Mashroud Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dunia ina mambo! Mmh! Haya.
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,133
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Huyo dokta anachekesha.Eti alitakiwa ampe hizo habari za kifo jana yake! Mbona mpaka sasa mgonjwa yu hai hajafa?
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  hapo inamaana jamaa amebakiwa na masaa machache
   
 6. m

  mbwagison Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado chenga,haishiki vizuri!
   
Loading...