Habari Leo na Dailynews wanauza copy ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari Leo na Dailynews wanauza copy ngapi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mozze, Sep 7, 2010.

 1. m

  mozze Senior Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu mwenye data aziweke ukumbini tuone impact ya magazeti haya ya Udaku.
  Kila gazeti wanauza copy ngapi kwa siku?
  Daily News
  habari leo
  Mwananchi
  Tanzania Daima
  Nipashe
  Guardian
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Heading yako na habari uliyoweka haviendani.
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  HIZI DATA UNAEZA KUPATA PENGINE........then what next and what 4?
   
 4. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Rekebisha topic yako ili tuchangie mawazo mkuu. Inaelekea kuna hoja unataka kujenga, lakini haijakaa vizuri.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Ongeza maelezo mkuu najua wawezakuwa na jambo la maana na kubwa unajaribu kuliteta ila bado halijaeleweka. Usiogope kuwa muwazi manake hapa watu wanaongea waziwazi tu!
   
Loading...