SASA MBWA WA JIRANI SIJUI WATAMPELEKA WAPI?
Kama milo mitatu kwa siku inatushinda tutaweza kulipa kodi zote hizo?Nchi za wenzetu vipi, wanakusanya kodi ktk kila kitu km mbunge huyu anavo dai iwe Tz, wenye data mnijuze, maana nafikiria km n ivo, tungekusanya fedha nyingi za kuendesha nchi yetu bila hata misaada ya nje km tutakusanya kodi kwa kila kitu
Comment yako imekaa kisiasa! Ndiyo naniHeading imekaa kisiasa...irekebishwe.
Walau isomeke hivi....
Habari leo: Mbowe, Makanda waongea. Mbunge adai na mifugo ikatwe kodi.
Wampeleka Iringa watapata soko fasta.SASA MBWA WA JIRANI SIJUI WATAMPELEKA WAPI?