Habari leo: Mbowe, Makonda waongea, na mifugo ikatwe kodi!

Huu nao ni upumbavu katika ubora wake,HIVI WATENDAJI WA SERIKALI WANFANYE NN ILI ROHO ZENU ZILIZIKE? mara ooooh mkuu wa mkoa ni observer tuuuu!!!unataka hayo anayosimamia afanye nani???diwani, meya mkurugenzi wa jj , mhandisi au nani?? Afanye kazi ili roho zenu zilizike. POOR THINKING MY SHALLOW FRIEND
Usizungumze kwa hisia za moyo Bali tumia akili. Makonda hana sababu ya kujisifu eti "hizo barabara mnazopita nikijenga" yeye anajenga barabara? Kwa mafungu yepi aliyonayo? Ku observe nini kinafanyika ndio ajione anajenga yeye?
Awepo au asiwepo RC Dar jiji litajenga barabara na zile za Tanroads nazo zitajengwa, soma job descriptions za maRC utajua.
Kumbe kweli ni MISIFA huyu!
 
Back
Top Bottom