Habari Kutoka MTWARA Ndio HII

2395424.jpg



MYW_willem_coetzee_mtwaraairport_n01zq5oaox.jpg
 
aisee nimeipenda hiyo message barabara miaka 50 gesi miezi 3 tu. Wana mtwara tupo pamoja
 
mimi naona vurugu na kelele za wana mtwara si hivi hivi tu lazima kuna external force inayo wapush wanamtwara kufanya vurugu.maana tukumbuke maeconomists wameshatabiri kua global economic distaster iko njiani 2013/2014…..sababu kuu ni kukua kwa uchumi wa china kwa kasi kubwa sana(8%) kwa hiyo basi mataifa ya ulaya sasa hivi yana tapatapa…hivi karibuni German wametangaza kuuza stock yao yote ya dhahabu…hii ina maana gani? Ina maana kua once dhahabu itakapo kua nyingi kwenye world market..automatically bei ya gold itaporomoka kwa kasi na kusababisa kuporomoka kwa uchumi wa dunia.inasadikiwa crisis hii itakua kubwa kushinda ya mwaka 1998 na ya 2008,na hii mipango yote inafanywa na nchi za ulaya ili mradi tu kuporomosha uchumi wa china uliokua kwa kasi.maana sasa hivi wachina wame invest everywhere sasa wameingia kwenye biashara ya gold and gas.na haohao wachina ndio walionunua Barrick na wameingia kwenye huo mkataba wa kusafirisha gesi kutoka mtwara kwenda dar. Nchi za ulaya kwa sasa zinaongoza kwa borrowing,spending na hawafanyi saving wala production ya maana na ndio maana wanaelekea kufirisika.Na ndio wanaochochea vurugu za mtwara kupitia wanasiasa njaa.Natoa wito kwa watanzania tuwe makini sana.Tusije kulishwa chakula tusichopika wenyewe.

Regards,
Tores
Gold&Gas Analyst
 

gesi+kwanza.jpg
HUDUMA zinazotolewa na idara mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Masasi na serikali kuu, zimesimama baada ya watumishi kushindwa kufanya kazi kutokana na kuteketezwa kwa nyaraka na moto kwenye vurugu zilizotokea mwisho mwa wiki iliyopita. Wakati huduma hizo zikikwama miili ya watu saba waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani humo imezikwa. Maiti hao ambao wawili wamefahamika, wamezikwa maeneo ya makaburi ya Masasi Mbovu, Nyasa na Upanga katika mji wa Masasi, kati ya saa 4:00 asubuhi na 10:00 alasiri juzi.


 
Back
Top Bottom