Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
hizi ni habari za jikoni kabisa. kutoka kwa mtu wa mitaa ya Igunga. sasa hivi anahudhuria mkutano wa Kamanda Mbowe.
jamaa anadai CCM wanaweza kushinda ila kwa mbinu.
Anasema Chadema kinajaa vijana kwa sana. Anadai vijana wengi hawana shahada za kura, lakini hajafanya utafiti. Anadai vijana wanaohudhuria mikutano ya CDM baadhi yao ni wahamiaji kutoka wilaya na mikoa jirani.
Wa Jikoni anaendelea kunitonya kuwa Rostam ni kweli hayupo Igunga. Na kuna taarifa kwamba 'amebadilika. anaisaidia CDM'. patamu.
Wa Jikoni ananiambia bado hajaamua kama apigie kura chama gani, ila nimemwambia 2015 naenda kupigania Jimbo langu la Songwe. Akaniuliza kwa tiketi gani? Simpo: Chadema. Nadhani Wa Jikoni anajua rafiki yake ninataka apigie chama gani. Anampenda Mahona wa CUF lakini hata yeye anakiri hana nafasi ya kushinda.
Kuhusu Mwalimu Kashindye, Wa Jikoni anasema Mwalimu si mzuri wa kujieleza lakini vijana wa Igunga wanadai lazima ashinde kwa sababu yuko upande wa 'Majembe'. Wa Jikoni bwana amenifurahisha. Kumbe Chadema Igunga hawaitwi Makamanda, ni Majembe.
Haya bwana Wa Jikoni. Nitakutafuta baadaye. Nilikuwa nafikiri kuweka namba yako kwa wanajamvi hapa, lakini nahofia nzi wataanza kukupeleleza ni nani aliyekupigia simu tangu leo asubuhi.
Malizia mkutano wako na Jembe Mbowe, then tutazungumza tena kuhusu maswala mengine ikiwa ni pamoja na turufu ya udini inayotumiwa na Magamba.
Kali kutoka kwa Wa Jikoni: 'Mtikila naye anamkutano leo.'
Kazi za jikoni ni kupika, kwa hiyo hicho ndicho ulichopika leo!
Kazi za jikoni ni kupika, kwa hiyo hicho ndicho ulichopika leo!
Hiyo ni lugha ya picha tu akimaanisha kutoka chanzo cha uhakika. Mbona ni neno la kawaida tu??wapi linakutatiza??Kazi za jikoni ni kupika, kwa hiyo hicho ndicho ulichopika leo!
wewe mpaka udandie kila hoja?
Kwa hiyo wewe ndio unaruhusiwa kila hoja udandie JF bana!
Kazi za jikoni ni kupika, kwa hiyo hicho ndicho ulichopika leo!
Hao chadema ni wazushi tu,kwa igunga labda cuf kidogo ndio tishio,wao wamekodi makanjanja kibao wakiwamo waandishi wa habari,wengine wanajiripua eti mama fatma kimario si mwislam wanapigiwa simu wanazima,wakiulizwa wanasema wamejiripua kwa maslahi ya cdm, chadema wao wanachofanya ni kucheza na magazeti na watabaki kama kwa padri slaa kuwa rais wa magazeti tu,huyo mgombea wao wa ubunge wa cdm hapo igunga ni vichekesho vitupu kama alivyokuwa padri slaa kwenye urais

hongera kwa kusoma kila post humu jamvini, unamzidi hata mod. kama vipi waambie wakupunguzie majukumu usije pofuka na macho (manake akili tayari kwishnehi) usione tukisherehekea ukombozi wa nchi yetu.