Elections 2010 Habari Kutoka Mtaani Igunga; Upinzani ni CCM na CHADEMA

CUF.. CUF Keep on CUF.. Nawashauri CUF kijizatiti zaidi wasikate tamaa. Nimefurahishwa na Kitendo Chenu Cha Kujitutumua na Kurusha CHOPAA ya ..(..) ingawa mnaikaimu ila kama yenu vile.... ni bidii kwa kweli.. jamani sikieni tu, Kukodi Helcopter Kutwa si mchezo.. kama unabisha kawauliza Magamba watawapa somo.. CDM wao Wanamiliki CHOPAA zao, wamezilebo kabisa CHADEMA.. yaani wababa na wamama wale wamejipanga kikazi zaidi.. wanatisha..
Na kwamba HATAKAMA CCM Watashinda IGUNGA lakini 2015 ni wazi hawatakuwepo madarakani, CDM au Chama kingine Chochote kitatwaa Dola, huo Ndio upepo wa kisiasa Duniani unavyokwenda, huwezi kukinzana na upepo. so CUF wanaweza kuwa wapinzaini wakuu.. kwaivo CUF msimsikilize Magufuli, si mwanasiasa huyo, ni mhandisi anayelazimishwa kufanya siasa.. Kupanda Punda ingawa Ilikuwa Faulo ila mazee mezeeni tu.. keep on
 
Na mimi nafarijika sana kufuatilia kila post yangu
hehe chemical reaction CCM + IGUNGA + Ufisadi + Kufumaniwa + maisha= Kamfum + Mafisadi +....nashindwa kupata chemical reaction wataalamu hebu nisaidieni mchanganyiko ninaopata sijajua fomula au kuna chemical haiko sawa
 
Na wewe mwenye shughuli unafanyaje humu JF kutwa humo tu.
Kwa hiyo mmenichoka wewe nani? Wewe ndio umetumwa uje uniambie? Basi kawambie hata mimi nimewachoka sitaki hata kuwaona!
Kiongozi, tatizo nini mbona muda mwingi naona unatumia kubishana na watu kutokana na hoja zako kwenda against majority???kipi rahisi, kubadilisha mtazamo huendana na wenzako au kukomaa na kutumia muda mwingi kuparulana na wenzako????Ukiona 99% upo tofauti na wenzako basi jua tatizo ni wewe, usitafute mchawi hapo. Maisha bila malumbano mbona inawezekana tu???
 
Tatizo la Pro-CDM JF wanataka wote tuwe humu JF tuwe CDM haiwezekani tuvumiliane jamani!
Na wakati mwingine mjifunze kutoka sehemu zingine huo ndio ubinadamu

nakuunga mkono. Japo mimi ni CDM, ila nachukia pale mtu anapoonekana kama mkosaji kisa anakipinga cdm. Kwani wao ni kina nani wasipingwe?
Kila mmoja ana mawazo yake, si hatuwezi kuwaza sawa.
 
Tatizo la Pro-CDM JF wanataka wote tuwe humu JF tuwe CDM haiwezekani tuvumiliane jamani!
Na wakati mwingine mjifunze kutoka sehemu zingine huo ndio ubinadamu
Please sometimes mnaongeza urefu wa comment na kutupa shida wasomaji bila sababu si lazima uchangie kilakitu humu JF unatuboa hasa wewe Ritz. I wish iwepo another forum for people like u.
 
Hao chadema ni wazushi tu,kwa igunga labda cuf kidogo ndio tishio,wao wamekodi makanjanja kibao wakiwamo waandishi wa habari,wengine wanajiripua eti mama fatma kimario si mwislam wanapigiwa simu wanazima,wakiulizwa wanasema wamejiripua kwa maslahi ya cdm, chadema wao wanachofanya ni kucheza na magazeti na watabaki kama kwa padri slaa kuwa rais wa magazeti tu,huyo mgombea wao wa ubunge wa cdm hapo igunga ni vichekesho vitupu kama alivyokuwa padri slaa kwenye urais

Natamani kukujibu ila naogopa kujidhalilidha kwa kubidhana na wewe
 
nakuunga mkono. Japo mimi ni CDM, ila nachukia pale mtu anapoonekana kama mkosaji kisa anakipinga cdm. Kwani wao ni kina nani wasipingwe?
Kila mmoja ana mawazo yake, si hatuwezi kuwaza sawa.
Upuuzi wa mpuuzi
 
Back
Top Bottom