Elections 2010 Habari Kutoka Mtaani Igunga; Upinzani ni CCM na CHADEMA

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
hizi ni habari za jikoni kabisa. kutoka kwa mtu wa mitaa ya Igunga. sasa hivi anahudhuria mkutano wa Kamanda Mbowe.

jamaa anadai CCM wanaweza kushinda ila kwa mbinu.

Anasema Chadema kinajaa vijana kwa sana. Anadai vijana wengi hawana shahada za kura, lakini hajafanya utafiti. Anadai vijana wanaohudhuria mikutano ya CDM baadhi yao ni wahamiaji kutoka wilaya na mikoa jirani.

Wa Jikoni anaendelea kunitonya kuwa Rostam ni kweli hayupo Igunga. Na kuna taarifa kwamba 'amebadilika. anaisaidia CDM'. patamu.

Wa Jikoni ananiambia bado hajaamua kama apigie kura chama gani, ila nimemwambia 2015 naenda kupigania Jimbo langu la Songwe. Akaniuliza kwa tiketi gani? Simpo: Chadema. Nadhani Wa Jikoni anajua rafiki yake ninataka apigie chama gani. Anampenda Mahona wa CUF lakini hata yeye anakiri hana nafasi ya kushinda.

Kuhusu Mwalimu Kashindye, Wa Jikoni anasema Mwalimu si mzuri wa kujieleza lakini vijana wa Igunga wanadai lazima ashinde kwa sababu yuko upande wa 'Majembe'. Wa Jikoni bwana amenifurahisha. Kumbe Chadema Igunga hawaitwi Makamanda, ni Majembe.

Haya bwana Wa Jikoni. Nitakutafuta baadaye. Nilikuwa nafikiri kuweka namba yako kwa wanajamvi hapa, lakini nahofia nzi wataanza kukupeleleza ni nani aliyekupigia simu tangu leo asubuhi.

Malizia mkutano wako na Jembe Mbowe, then tutazungumza tena kuhusu maswala mengine ikiwa ni pamoja na turufu ya udini inayotumiwa na Magamba.

Kali kutoka kwa Wa Jikoni: 'Mtikila naye anamkutano leo.'

Updates:

1. udini ni turufu feki. imefeli. Leo nasikia baadhi ya waislam wataandamana kupinga mama kimario kuvuliwa mtandio.
2. chadema wameleta walinzi wa kura. ni wasomi. walikotoka hakujulikani. haibiwi mtu.
3. watu wanataka mabadiliko, hakuna shaka Chadema kitashinda.

Si maneno yangu. Ni nikuu kutoka kwa Wa Jikoni.
 
hizi ni habari za jikoni kabisa. kutoka kwa mtu wa mitaa ya Igunga. sasa hivi anahudhuria mkutano wa Kamanda Mbowe.

jamaa anadai CCM wanaweza kushinda ila kwa mbinu.

Anasema Chadema kinajaa vijana kwa sana. Anadai vijana wengi hawana shahada za kura, lakini hajafanya utafiti. Anadai vijana wanaohudhuria mikutano ya CDM baadhi yao ni wahamiaji kutoka wilaya na mikoa jirani.

Wa Jikoni anaendelea kunitonya kuwa Rostam ni kweli hayupo Igunga. Na kuna taarifa kwamba 'amebadilika. anaisaidia CDM'. patamu.

Wa Jikoni ananiambia bado hajaamua kama apigie kura chama gani, ila nimemwambia 2015 naenda kupigania Jimbo langu la Songwe. Akaniuliza kwa tiketi gani? Simpo: Chadema. Nadhani Wa Jikoni anajua rafiki yake ninataka apigie chama gani. Anampenda Mahona wa CUF lakini hata yeye anakiri hana nafasi ya kushinda.

Kuhusu Mwalimu Kashindye, Wa Jikoni anasema Mwalimu si mzuri wa kujieleza lakini vijana wa Igunga wanadai lazima ashinde kwa sababu yuko upande wa 'Majembe'. Wa Jikoni bwana amenifurahisha. Kumbe Chadema Igunga hawaitwi Makamanda, ni Majembe.

Haya bwana Wa Jikoni. Nitakutafuta baadaye. Nilikuwa nafikiri kuweka namba yako kwa wanajamvi hapa, lakini nahofia nzi wataanza kukupeleleza ni nani aliyekupigia simu tangu leo asubuhi.

Malizia mkutano wako na Jembe Mbowe, then tutazungumza tena kuhusu maswala mengine ikiwa ni pamoja na turufu ya udini inayotumiwa na Magamba.

Kali kutoka kwa Wa Jikoni: 'Mtikila naye anamkutano leo.'

Kazi za jikoni ni kupika, kwa hiyo hicho ndicho ulichopika leo!
 
Hivi Kafu walisimamisha kampeni toka siku ile ya Punda na kuja kuendelea nazo siku ile ya Helkopta! Mbona hawakuwahi kuonekanaga tena mpaka juzi watu walipokuja kuishangaa helkopta yao! Kweli Kafu wanambinu. Siku ya kwanza walipata watu kuja kushuhudia kwa mara ya kwanza kumwona Profesa mzima kapanda Punda, leo hii wamewavuta watu waje kuishangaa helkopta. Endeleeni hivyo hivyo Kafu na ikiwezekana ongezeni nguvu ya kuwavuta watoto kwenye mikutano yenu kwa kuungana na mgombea wa UPDP atakayekuja kuwaburudisha kwa Zecommedy. ("VIJANA MNAOTA JUA KUTWA NZIMA KAMA SOLAR POWER")
 
Hao chadema ni wazushi tu,kwa igunga labda cuf kidogo ndio tishio,wao wamekodi makanjanja kibao wakiwamo waandishi wa habari,wengine wanajiripua eti mama fatma kimario si mwislam wanapigiwa simu wanazima,wakiulizwa wanasema wamejiripua kwa maslahi ya cdm, chadema wao wanachofanya ni kucheza na magazeti na watabaki kama kwa padri slaa kuwa rais wa magazeti tu,huyo mgombea wao wa ubunge wa cdm hapo igunga ni vichekesho vitupu kama alivyokuwa padri slaa kwenye urais
 
Chadema mnajiongopea sana,ile ni tabora si arusha,pale ni ccm labda na cuf,mtakuja kufa kwa aibu kama ilivyokuwa kwa padri slaa
 
Kazi za jikoni ni kupika, kwa hiyo hicho ndicho ulichopika leo!

hongera kwa kusoma kila post humu jamvini, unamzidi hata mod. kama vipi waambie wakupunguzie majukumu usije pofuka na macho (manake akili tayari kwishnehi) usione tukisherehekea ukombozi wa nchi yetu.
 
kafumu ndiye hajui kujieleza kabisa kabisa....anabebwa na magufuli na mtukanaji wasira.......kashindye anajua kujieleza anaongea kwa kufuata vituo, koma, semikoloni nk.....kwa mtu mwingine anaweza kusema hawezi kujieleza ila anajua sana...

'' kashindye ashinde kafumu afumuliwe''
 
Hao chadema ni wazushi tu,kwa igunga labda cuf kidogo ndio tishio,wao wamekodi makanjanja kibao wakiwamo waandishi wa habari,wengine wanajiripua eti mama fatma kimario si mwislam wanapigiwa simu wanazima,wakiulizwa wanasema wamejiripua kwa maslahi ya cdm, chadema wao wanachofanya ni kucheza na magazeti na watabaki kama kwa padri slaa kuwa rais wa magazeti tu,huyo mgombea wao wa ubunge wa cdm hapo igunga ni vichekesho vitupu kama alivyokuwa padri slaa kwenye urais

mimi sibishani na watu wenye hisia za udini.

ngoja nimtafute tena Wa Jikoni.

[nawapa updates sasa hivi]. nina salio la kutosha.

natumia Zain.
 
Hao chadema ni wazushi tu,kwa igunga labda cuf kidogo ndio tishio,wao wamekodi makanjanja kibao wakiwamo waandishi wa habari,wengine wanajiripua eti mama fatma kimario si mwislam wanapigiwa simu wanazima,wakiulizwa wanasema wamejiripua kwa maslahi ya cdm, chadema wao wanachofanya ni kucheza na magazeti na watabaki kama kwa padri slaa kuwa rais wa magazeti tu,huyo mgombea wao wa ubunge wa cdm hapo igunga ni vichekesho vitupu kama alivyokuwa padri slaa kwenye urais

Ndio unajiona mjanja?
 
hongera kwa kusoma kila post humu jamvini, unamzidi hata mod. kama vipi waambie wakupunguzie majukumu usije pofuka na macho (manake akili tayari kwishnehi) usione tukisherehekea ukombozi wa nchi yetu.

Na mimi nafarijika sana kufuatilia kila post yangu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom