Habari kuhusu Rais Dr. John Magufuli na Prof John Thornton ya Dar na London zimetofautina kwanini?

Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli.

Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia kukubali kulia pesa wakati vyombo vyeti nchini vimeripoti kuhusu Acacia kukubali kulipa pesa kwa.

Kwanini habari hizi zimetofautiana sana na kuleta sintofahamu kwa jamii hasa ya wale wenye uwezo wa kapata habari za Nje ya nchi??
Tatizo LUGHA kaka
 
Amini maneno aliyoyasema Prof. Thornton kwa kinywa chake mbele za media baada ya mazungumzo ya Ikulu. Kwani kila mmoja alimsikia and we have the mind of our own sio lazima kila kitu tusaidiwe tafsiri.
Wengine hatujamsikia wala kumuona huyo Prof.Thornton alisema nini mbele za media?
 
Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli.

Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia kukubali kulia pesa wakati vyombo vyeti nchini vimeripoti kuhusu Acacia kukubali kulipa pesa kwa.

Kwanini habari hizi zimetofautiana sana na kuleta sintofahamu kwa jamii hasa ya wale wenye uwezo wa kapata habari za Nje ya nchi??
sketch-1497478311167.jpg

Financial Time from London
 
Alimwona kwenye TV yule Mkanada alichosema.

Lazima awepo pale?

Unaishi karne gani wewe, zama za mawe?
Kwa hyo yeye kaona mkanada kasema halipi,na waandishi wetu waliokuwepo ikulu wameona jamaa kasema watalipa?
HAYA YATAKUWA MAAJABU YA NANE YA DUNIA.
 
Ww unajua bei ya madini?
Hyo hela ni ya masanduku kadhaa ya dhahabu.
Usilete masikhara na dhahabu.

Net worth ya Acacia ni kama $2.6 Billion. 64% ya Barrick ni kama $ 1.9 Bill. Turnover ni $1 billion kwa mwaka. Serikali inasema inadai $50bil (Tr 108.5) kutoka kwenye faida ya miaka 19 (pamaoja na kwamba miaka kadhaa ya mwanzo huwa hamna production). Kwa mahesabu ya kamati, kodi ya serikali kila mwaka ni $2.6 Billion (ambayo ni almost net worth ya kampuni nzima)

Bado unafikiri walisema watalipa?
 
Nilichomsikia Mkanada alisema kampuni yao inaadhma ya kutafuta suluhu ya jambo hili kwa mazungumzo ya kina na ya kujenga yatakayoleta manufaa kwa pande zote mbili, na matokeo ya hayo mazungumzo yataamua wao wanatakiwa walipe kiasi gani, endapoitabainika wanatakiwa kuilipa serikali.
 
Kwa hyo yeye kaona mkanada kasema halipi,na waandishi wetu waliokuwepo ikulu wameona jamaa kasema watalipa?
HAYA YATAKUWA MAAJABU YA NANE YA DUNIA.

Hakuna mahali aliposema atalipa,na hata mwandishi amereport hivyo
 
labda mkulu lugha bado ni tatizo kwake alivyosikia win-win akajua wamekubali
kwa iyo alivosikia win-win akajua ameambiwa ameshinda......... hahahaha.... mi sio mtaalam wa ile lugha ila jamaa kwa kweli inamgonga..... maana alivoanza kuiongea tu uso ukabadilika mazima..... af mwishoni kwa biti kubwa anakwambia nimeamua kuitafsir kwa kingereza....
Kweli win-win
 
Kizungu kizunguzungu!
Kimemzungusha president wenu nanyi mliosema tuungane tumuunge mkono raisi naona mmetepeta kwa mhorojeko unaoletwa na kizunguzungu.

Endeleeni kuungana mumuunge mkono rais wenu. (Ila ras simba sio mzalendo)
 
Net worth ya Acacia ni kama $2.6 Billion. 64% ya Barrick ni kama $ 1.9 Bill. Turnover ni $1 billion kwa mwaka. Serikali inasema inadai $50bil (Tr 108.5) kutoka kwenye faida ya miaka 19 (pamaoja na kwamba miaka kadhaa ya mwanzo huwa hamna production). Kwa mahesabu ya kamati, kodi ya serikali kila mwaka ni $2.6 Billion (ambayo ni almost net worth ya kampuni nzima)

Bado unafikiri walisema watalipa?

Nakushangaa , unahangaika kumwelekeza mtu anyejiita mjinga.... kama walivyo wengi wa namna hiyo hawezi kukuelewa..
 
Net worth ya Acacia ni kama $2.6 Billion. 64% ya Barrick ni kama $ 1.9 Bill. Turnover ni $1 billion kwa mwaka. Serikali inasema inadai $50bil (Tr 108.5) kutoka kwenye faida ya miaka 19 (pamaoja na kwamba miaka kadhaa ya mwanzo huwa hamna production). Kwa mahesabu ya kamati, kodi ya serikali kila mwaka ni $2.6 Billion (ambayo ni almost net worth ya kampuni nzima)

Bado unafikiri walisema watalipa?
Wewe hesabu za acacia unazipata wapi?
Unafikiri wanaweza kusema ukweli kuhusu wanachopata?
 
Back
Top Bottom