Habari kuhusu Rais Dr. John Magufuli na Prof John Thornton ya Dar na London zimetofautina kwanini?

Mtakatifu YOHANA akamuuliza mwanaume mwizi, what is your my name? Baada ya hapo akaendelea, yes boss, yes boss, yes boss na mwishowe alisikika akisema good bye boss. Good morning your wife and babies
kwenye ubora!
nakuunga mkono mdau, una point ya msingi sana hapo
 
Jamani kwa mtu mwenye akili ; pale kulikuwa na majibu mawili, moja la kisiasa na lingine la kitaalam, na majibu yote yalitolewa na wote wawili, Mhe. Magufuli na Thornston kwamba whatever comes out the negotiation will be paid, and we want to work with Tenzenia in a win-win situation. Sasa hapo kitaalam ni kwamba kiasi kitacholipwa itategemea mazungumzo. Kisiasa ni kwamba kiasi kitakacholipwa ni fedha zote (zipi: zitakazokubaliwa pande zote mbili)
 
kwa iyo alivosikia win-win akajua ameambiwa ameshinda......... hahahaha.... mi sio mtaalam wa ile lugha ila jamaa kwa kweli inamgonga..... maana alivoanza kuiongea tu uso ukabadilika mazima..... af mwishoni kwa biti kubwa anakwambia nimeamua kuitafsir kwa kingereza....
Kweli win-win
tujiulize tu hata sisi washule za kayumba yule mzungu alichoongea na mkulu alivyo tutafsiria viko sahihi,hata kama uliishia la nne A
 
labda mkulu lugha bado ni tatizo kwake alivyosikia win-win akajua wamekubali
Hawana ujanja wa kutolipa.Kitendo cha huyo boss kusafiri masaa lukuki toka Canada hadi ferry kunako nuka Shombo ya Samaki, washaelekezwa kibla tayari kwa kuchinjwa.Hata kama si kwa kiwango kilichoonyeshwa na tume,ila watalipa tu!.

Kumbukeni tayari kule kwenye masoko ya hisa,kulishatikisika baada tu ya mkuu kuwaanika wizi wanaotufanyia.

Watanzania hebu tuwe wazalendo kwa hiki ambacho Rais ameamua kukivalia kibwaya.Tumpe hongera na ushirikiano maana ni kweli hawa Nguruwe wamekuwa wakitunyonya,wakati raslimali ni zetu.
 
Hebu walipe haraka, tena ushauri wangu kwa rais zikilipwa hizo kila mwananchi apewe cash yake mapema, si walisema ilikuwa pesa ambayo kila mtanzania angeweza kununua gari aina ya Noah, watupatie kila mtu ya kwake mkononi
Mim wanipe pesa cash sitaki Noah
 
Alikuja ili wapitie sample zote pamoja na kuwalekeza sserikali walipo kosea mahesabu na kupata nafasi ya kujiteteta. Pia wnaweza kubadilisha KIDOGO mkataba kwenda mbele. Malipo ya matrillioni SAHAHAU
huyo Prof wa barrick mjanja sana ,kwanza amefanikiwa kuondoa mtego wa kuwabana kupitia ACCACIA kwa kujifanya kuwa wao ndiyo wanahisa kuliko accacia ,wakati Barrick hao hao ndiyo waliobadili jina kuwa accacia
 
Hawana ujanja wa kutolipa.Kitendo cha huyo boss kusafiri masaa lukuki toka Canada hadi ferry kunako nuka Shombo ya Samaki, washaelekezwa kibla tayari kwa kuchinjwa.Hata kama si kwa kiwango kilichoonyeshwa na tume,ila watalipa tu!.

Kumbukeni tayari kule kwenye masoko ya hisa,kulishatikisika baada tu ya mkuu kuwaanika wizi wanaotufanyia.

Watanzania hebu tuwe wazalendo kwa hiki ambacho Rais ameamua kukivalia kibwaya.Tumpe hongera na ushirikiano maana ni kweli hawa Nguruwe wamekuwa wakitunyonya,wakati raslimali ni zetu.
Hata Bush ashawah kuja kukagua mirad yake hapa bongo.Kama unahisi ujio wake ni kenda kibla upo wrong.Tulioenda Kibla ni sisi ambao tulikiri kuwa jamaa ni wezi,jamaa wametuibia na kujinasibu kuwakamata wote waliohusika,matokeo yake mwizi anakuja kunywa juisi na alomuibia na wanakubaliana nje ya sheria
 
Hawana ujanja wa kutolipa.Kitendo cha huyo boss kusafiri masaa lukuki toka Canada hadi ferry kunako nuka Shombo ya Samaki, washaelekezwa kibla tayari kwa kuchinjwa.Hata kama si kwa kiwango kilichoonyeshwa na tume,ila watalipa tu!.

Kumbukeni tayari kule kwenye masoko ya hisa,kulishatikisika baada tu ya mkuu kuwaanika wizi wanaotufanyia.

Watanzania hebu tuwe wazalendo kwa hiki ambacho Rais ameamua kukivalia kibwaya.Tumpe hongera na ushirikiano maana ni kweli hawa Nguruwe wamekuwa wakitunyonya,wakati raslimali ni zetu.

Tuwe wazalendo lakini tusiwe wajinga. Hawalipi $50billion kwa sababu sio mahesabu sahihi. Hata kama tumealiwa sio kiasi hicho. Valuation ya hisa za Barrick (64%) ni $1.2bil mpaka $1.9 bil. Wamejaribu miaka mingi sana kuuza hizo hisa mpaka juzi juzi walipopata kampuni iliyokuwa interested. Jamaaa waliiingia mitini kwa sababu ya hii issue. Ni bora wafunge ofisi kuliko kulipa hiyo hela. Hizo ni hesabu za shule ya msingi. $50 bil ni sawa na $2.9bil kwa mwaka wakati kampuni ina turnoever ya $1bil
 
Back
Top Bottom