Habari kubwa na muhimu leo!!!

Habari kubwa na muhimu leo!!!

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
Jaji mmoja katika jimbo la TENEESEE nchini marekani ameamuru mtoto alipewa jina la MESSIAH abadilishwe jina hilo kwasababu yesu kristo pekee ndio anapaswa kuitwa jina hilo,wazazi wa mtoto huyo wamesema waliamua kumuita mtoto wao jina hilo baada ya wazazi hao kutoafikiana jina gani wamuite mtoto huyo hata hivyo wazazi hao wamekata rufaa kupina uamuzi wa jaji huyo!!!!!!!!!!!
 
kwa!kwa! Kwa! Hii ilikuwa habari mbaya kwangu, maana jina hilo tayari natumia kuwazugia.
 
Anamarufukisha MESSIAH meanwhile akina GODI wanapeta!
Judge hajatenda haki as well .
 
He wanamuonea tu, mbona mi nilisoma na jamaa mmoja anaitwa Yesu.
 
Back
Top Bottom