Habari kubwa leo 1:8:2013

ukisikia maamuzi magumu ndo hayo...
 
huyu Mr Rocky ana majigambo ila namwaminia kwa kubadilika kutokana na mazingira sababu ya mikeka nikukombwa vitu ila kaujanja kengine eti huko tunapoelekea anasema eti maisha yatakuja kuwa hivyo
 
Last edited by a moderator:
stevoh wala sio majigambo bana ni hali halisi si unajua etna mkuu
Salama lakini
Hujaona mke aise humu
 
Last edited by a moderator:
sweetlady unaniita janga la nini
hao waume zenu siwataki hata hivyo
au na wewe haujiamini;
unatakiwa ufundwe kwanza ujue kuishi
na mwanaume; ili Mamndenyi asikupore;
grrrrrrrrrp!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Lini uliwahi kunipora mume mie? Halo halo.. Vin Diesel ulimkwapua wakati ndoa yetu imetetereka, hata hivyo mbona alikumwaga pia?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…