Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Nibora kuachwa porini au kuachwa jeshini kuliko kuachwa penzini
Ivi nani alikuacha jamani
kuachwa ni kama pai r squre kwenye mapenzidah! ilishakutokea nini kaka coz unaonekana unamaanisha kile ulicho post!
bahati yako Mr Rocky na wewe bangalo lako masaki lingechomwa
Kaachwa na Vin Diesel, Mr Rocky, The Boss,...... List ni ndefu ntarudi kukutajia wengine Kaizer.....ngoja ninywe chai kwanza.... Mamndenyi akiamua kuandika hapa atajaza kaunta buku la kwaya foo teh teh
sweetlady wacha tuu wageni wakija nawaambia hii ni maisha yangu mapya nimeamua kukaa chini kwenye mikeka na kulala chini kwenye godoroHahahahha....ndio mana siku hizi umejaza mikeka tu lol
kuachwa ni kama pai r squre kwenye mapenzi
dah,muda huu nipo sitaki tena mapenzi kwa hivi sasaso ulifanyaje ulipoachwa coz options ziko kibao kama kusaka mpenzi mpya,kujinyonga,kubaki single,kuachana na haya mambo!!